Ni template niliyoitengeneza kwa Excel office 2007
(Inayofunguka pia na office 2010 na 2013. Baadaye nitaweka link ya template inayofunguka kwa office 2003)
inayokuwezesha kuweka utaratibu wa duka na kufanya mahesabu kwa haraka na kwa urahisi. Punguza kuumwa na kichwa na tumia mbinu rahisi.
Kwa maelekezo zaidi click hapa.
Click hapa download na uanze kujaribu.
Usisahau kutoa maoni.
Castor Ngowi OFM Cap